hivi ndivyo kulivyojiri katika Tamasha la KILIMANJARO MUSIC CONCERT sikukuu ya idd

 Mapinduzi ya burudani mkoani Kilimanjaro yanazidi kupamba moto na katika kulithibitisha hilo jana 29 july sikukuu ya Idd, kulipigwa Bonge la Tamasha la wazi "KILIMANJARO MUSIC CONCERT" katika viwanja vya CCM Majengo Moshi.
 Tamasha hilo la wazi lililotoa Burudani ya muziki wa hiphop na aina nyingine za muziki limeandaliwa na BLACK MARKET MUSIC kwa kushirikiana na SOMJO ENTERTAINMENT na BONITE BOTLERS LIMITED huku lengo lake likiwa ni kuinua muziki mkoani hapa.

 Akiongea nasi CEO wa BLACK MARKET MUSIC RAS KENOO amesema huu ni mwendelezo wa harakati zake za kuinua muziki mkoani hapa na ameahidi kuwa tamasha hili ni endelevu na litahamia PASUA,kiboriloni na maeneo mengine ya Moshi.
 Huku Somjo toka SOMJO ENTERTAINMENT AKIWAHAIDI wakazi wa Kilimanjaro tamasha kubwa litalofanya mapinduzi ya burudani mwezi wa 10 mwaka huu.

CHEKI PICHA ZA MATUKIO HAPA..


SOMJO (mwenye shati la draft) akifuatilia show kwa makini.huku maDj  Virus na wenzake waki get bizy kwenye mshine
CEO wa Black Market Music Ras Kenoo akiongea na mashabiki wa muziki waliofika
Baadhi ya mashabiki waliofika viwanjani wakifurahia show.
baby De concious na mwenzake wakikamua
Muba mkali wa free style akiwapa michano mashabiki waliofika
Julian Damas"Mtoto wa mwenye duka nikiwa na
Muba mkali wa freestyle
nelly Ms toka Team RAU akiwa na Muba mkali wa freestyle
wasanii toka SAUZWEST wakiwa na ma MC wa show

Nikiwa na Joshua Fanuel toka kingJofa blog

wakali wengine wa Moshi wakifanya yao


Ma Dj waki get bizzy kwenye mashine.

Sunguraa a.k.a kirambasi akiwarusha mashabiki wake
HUYU NAYE ALINOGEWA NA NGOMA ZA SUNGURAA AKAMUA KUJIACHIA
HAHAHAHA NI KIRAMBAASII

PANDISHA MLEGEE HAHAHA
Makamuzi yaliendelea mpaka kagiza flani cha usoni watu
wakaiharibia beat mpaka kikaeleweka
NYIE VAENI MA CHAIN YA GOLD, MA SILVER MA VERSACE
MI NAVAA MANATI.
SWAGA ZA HUYU MSHKAJI NILIZIKUBALI SANA
NIKIWA NA CEO WA BLACK MARKET MUSIC RAS KENOO
PAMOJA NA JAMAA MI NAPENDA KUMWITA MC MANATI SWAG
JULIAN DAMAS NA RAS KENOO NA MC MANATI
NIMEWEKA ISHARA YA nikimaanisha MOSHI
usinielewe vibaya hahaha haha.

endelea kutembela blog hii kwa videoz za matukio zaidi

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.