NEW VIDEO: MAUA SAMA FT BEN POL - THIS LOVE (you must watch this )

Najua umesubiri kumwona Maua Sama kwenye video.Tazama bonge la video ya ngoma iliyokutanisha wakali wawili waliobarikiwa kipaji na sauti Tanzania.mabibi na mabwana hawa hapa MAUA SAMA na BEN POL ngoma ianaitwa THIS LOVE. video imefanywa na Director HANSCANA.


Maua Sama ameshafanya vizuri na ngoma kama so crazy aliyomshirikisha mwana fa, sijiwezi,let them know na hello aliyofanya na grace matata.
CLICK HERE TO WATCH THE VIDEO




usisahau:endelea kumpigia kura Maua Sama katika kipengele cha wimbo bora wa reggae kwenye tuzo za kili 2014/15 kupitia link hii 
http://ktma.co.tz/home/vote?id=7&sub=14

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.