NEW VIDEO: HARUSI - HUSSEIN MACHOZI

Baada ya kukakaa kimya kwa kitambo kidogo bila muziki wake kuskika sana Tanzania,hatimaye msanii aliyewahi kutangaza kuwa amehamishia shughuli zake za muziki nchini Kenya..Hussein Machozi amerudi tena kwa kishindo na kichupa chenye mvuto wa aina yake na ubunifu utaokufanya utamani kukitazama zaidi ya mara moja..

Nazungumzia HARUSI - HUSSEIN MACHOZI
itazame hapaaa.....

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.