Msanii Mike Mwakatundu Mike Tee Mnyalu.ametangaza dau la tsh laki 3 cash kwa yeyote atakayetoa taarifa za kuliona gari namba T 280 AZQ popote pale.
Kama umeliona piga simu kwa namba hii hapo
0754310202
Mike Tee ameandika hilo kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Mike tee
Leave a Comment