new video from RWANDA : VELO - TETA DIANA

Teta Diana mwanadada mrembo anayeiwakilisha vyema nchi yake ya Rwanda katika majukwaa mbali mbali ki taifa na kimataifa ikiwemo shindano la tusker project fame alilloshiriki mwaka 2012 bado anazidi kudhihirisha ubora wake.
Baada ya kufanya vyema kwa vibao kama "Fata Fata", "Canga Ikarita", "Tanga Agatego","umpe akanya na "Birangwa"  mwaka 2016 ametuletea "VELO"



VELO ni kinyume cha neno LOVE likitamkwa kutoka mwisho kuelekea mwanzo.ni wimbo uliobeba ujumbe mzito kuhusu mapenzi ya siku hizi yalivyo juu chini, amapo wengi huingia kwenye mahusiano na watu wasio sahihi kwa sababu tu ya mali na si mapenzi ya kweli hali inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema 

CLICK HAPA KUITAZA VIDEO YAWIMBO HUO.






credit to :http://allafrica.com

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.