download ngoma ya Team Rau ft jobfire wa melody - Tunasonga


Ujio toka kwa vijana wanaowakilisha poa mkoa wa Kilimanjaro tokea pande za Rau.
Ndani yupo Nald clever,Nelly MS , johnii na jobfire wa melody ndo kasimamia kiitikio.
Yape maskio yako nafasi ya kusikiliza mziki mzuri toka Moshi kwa ku click hapa..


No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.