Aliyevuma facebook kuwa ni mmiliki wa wimbo BASI NENDA apatikana.azungumzia swala hilo pamoja na uhusiano wake na MO MUSIC

MO MELODY jamaa aliyewahi kuvuma kupitia ukurasa wake mtandao wa facebook kuwa yeye ndiye mmiliki halisi wa wimbo BASI NENDA na jina MO MUSIC pamoja na wimbo unaitwa MAWIO. amepatikana na amezungumza mambo kibao kuhusiana na nyimbo hizo pamoja na uhusiano wake na MO MUSIC WA BASI NENDA.
fuata link hapo chini kumsikiliza....
MO MUSIC

MO MELODY




No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.