"muziki wa hip hop ndio muziki unaofanya vizuri kwa sasa ila unapingwa sababu umebeba ukweli" G-nako
Mkali wa chorus za muziki wa HIPHOP toka WEUSI KAMPUNI na kundi linalofanya vizuri kwa sasa kwenye game ya muziki wa kizazi kipya Tanzania amefunguka kuwa muziki wa hiphop ndio muziki unaofanya poa kwenye redio na shows nyingi ila unakumbana na ugumu kupita kutokana na kuwa muziki huo umesheeni ukweli.
"..ukweli unapotaka ku penetrate sehemu lazma unakuwa na kazi ngumu kidogo ya kupita kwa hiyo lazma utumie nguvu kidogo kupitisha ukweli"
alieleza G.nako katika mahojiano na Saut fm 96.1 ya Mwanza
G.nako amefanya poa sana katika chorus na verse zake akiwa kundi lake la awali la NAKO 2 NAKOO katika ngoma kama "Ndo zetu" na "Bang RMX" na sasa ngoma za Kundi za WEUSI kama "GERE" na "NIACHE KIDOGO(give me a break)".
Pia anakimbiza na ngoma zake kama "mama yeyoo" na "warawara na mpira".
msikilize G Nako kwa ku click hapa chini..

Leave a Comment