Phill Baba - Nilijikwaa
NILIJIKWAA, kazi toka kwa msanii Phill Baba toka Mkolani,Mwanza Tanzania.
ni wimbo mzuri kwa wapendanao ku dedicate,haswa wakati inapotokea kukoseana.
yape macho yako nafasi ya kuutazama.
VIDEO by THE BEST VIDEO PRODUCTION.
KWA INTERVIEW,SHOWS NA MAWASILIANO ZAIDI CHECK NA
PHILL BABA:0768935600
Leave a Comment