football: chelsea 3 - 1 burnley goals Highlights

kama we ni mpenzi wa kabumbu a.k.a football na uli miss kuitazama game hii.
tazama hapa highlight za magoli ktk game ya chelsea vs Burnley iliyoishia kwa chelsea kuibuka kidedea kwa ushindi wa 3 dhidi ya 1 la Burnley

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.