New track: big results now (B.R.N) - Dee keys (mwalimu wa zamu) prod by ben malago

Big Results Now (BRN) ni sera ya serikali ya Tanzania katika kuleta maendeleo nchini na miongoni mwa sector inayoguswa sana na hii sera ni sector ya elimu.
Wananchi wengi wamekuwa wakihoji kuhusu mbinu zinazotumiwa kuleta matokeo makubwa katika elimu TZ ikiwemo ile ya kubadili viwango vya ufaulu na ile ya kuleta Div 5 badala ya DIV 0 iliyopigwa vita na wadau wa elimu hadi kupelekea kushindikana.
 Mwalimu DEE KEYS a.k.a (Mwalimu wa zamu) aliona hali halisi na kuichambua kiundani kisha kutumia kipaji chake cha Muziki kuwasilisha mawazo ya upande wa pili kuhusu njia itayoleta matokeo makubwa katika sector ya elimu Tanzania BIG RESULTS NOW B.R.N
bonyeza hapa kuiskiliza

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.