Je ni kweli joti katokezea kwenye video ya T.Pain au?
Kumeibuka ubishi mkubwa kuhusu huyu jamaa aliyetokezea kama Dj katika video ya T-Pain feat Joey Galaxy - Booty Wurk (One Cheek At A Time)kuwa ni msanii maharufu wa maigizo kutoka kundi la Original Komedi lenye maskani yake Daresalam Tanzania au kafanana nae tu.
jamaa huyu aliyeonekana katika video hiyo amefanana na msanii Joti kwanzia sura hadi mbwe mbwe zake.
Star mwingine aliyeonekana kwenye video hiyo ni mchekeshaji Kelvin Hurt
Bonyeza hapa kutazama kipande cha video hiyo.

Leave a Comment