Majina ya wanaotarajiwa ku graduate chuo kikuu cha St Augustin (SAUT) 2014
Chuo kikuu cha Mt. Augustino kimetoa majina ya wahitimu wa vitivo mbali mbali wanaotarajiwa kufanyiwa mahafali tarehe 21 na 22 mwezi Novemba chuoni hapo.
Aidha wahitimu ambao hawajaona majina yao wanatakiwa kuwasiliana na vitivo vyao ili kuweka mambo sawa kabla ya tarehe 5 mwezi novemba 2014.
Kwa majina fata link hii
http://www.saut.ac.tz/index2.php/expected-graduants-20132014/

Leave a Comment