BRAND NEW TRACK: NENO NA MDUNDO - JULIAN ft SAUT PR CYPHER TEAM 2014 (Prod by STARBITZ & CHOPPAH) JULIAN MUSIC INC.

Hii hapa kazi uliyoisubiri kwa mUda mrefu kutoka kwa JULIAN DAMAS A.K.A Mtoto wa Mwenye Duka,aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha SAUT FM 96.1 Mhz, MWANZA .
HAPA AMEWAKUTANISHA WAKALI WA MICHANO TOKA COURSE YA PR NDANI YA CHUO CHA SAUT MWANZA JUU YA MDUNDO WA STAR-BITZ  NA MIXING ZA PRODUCER CHOPPAH NDANI YA STUDIO ZA CHOPPAH RECORDS ,ZILIZOPO NYEGEZI MWANZA.
kazi inaitwa NENO NA MDUNDO (PR CYPHER 2014) na waliopita juu ya mdundo ni BONZ, TOJO, BEN BARRO, DEDE Jr, MGANGA,ALBA 1,GOD -SON(MIRACLE),KALLA WOKA na JULIAN mwenyewe kamaliza verse ya mwisho(RESPECTIVELY)..
YAPE NAFASI MASKIO YAKO KUKUTANA NAMICHANO ILIYOKWENDA SHULE.
KU DOWNLOAD CLICK HAPA
**R.I.P NKWABI NG'ANAKILALA**


No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.