Sigara yamponza kipa wa Arsenal

Kipa wa kikosi cha kwanza cha Arsenal, Wojciech Szczesny amepigwa faini ya paundi 20,000 baada ya kukutwa na kosa la kuvuta sigara muda mfupi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southampton.

Kitendo cha kipa huyo kilisabaisha hasira kwa kocha wake Arsene Wenger na kuamua kumpa adhabu hiyo.
Wachezaji wengine wa Arsenal waliowahi kukumbwa na tatizo kama hilo la uvutaji sigara ni Jack Wilshere pamoja na nahodha wa zamani wa klabu hiyo William Gallas.


Credit:bbcswahili

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.