tupo tulikuwepo na tutaendelea kuwepo "juliandamas blog" yaja na sulution kwa ma underground

CEO wa juliandamas.blogspot.com Mr julian Damas a.k.a Mtoto wa mwenye duka.
amewataka fans wa mtandao huu kuendelea kutembelea na kuupenda mmtandao huu wa juliandamas na wasihofie ukimya wake kwaniukimya huu unakuja na mshindo mkubwa. amesema kuwa blog hii haija post vingi tokea mwaka 2015 uanze kwa sababu za anajipanga.



either Julian amewataka wasanii wachanga ambao wamekuwa wakitafuta mtandao wa kuwapostia nyimbo zao na kazi nyingine za sanaa lakini wamekuwa wakikumbana na Bloggers wenye njaa wanaowaomba hela,kufurahi  kwani suluhisho la matatizo yao limepatika.
" wasanii wachanga najua mmeteseka sana mmekutana na bloggers wengi wanaotaka rushwa kwa kisingizio cha ela ya bando ili wapost nyimbo zenu mtandaoni,sasa msiteseke tena, mnaweza kutuma nyimbo zenu kupitia julianmushi599@gmail.com nami nitaipost na ku promote bila gharama yoyote, narudia bila gharama yoyote" alisema julian.

"kwa wasanii wataotaka kuwasiliana nami wanaweza kunifollow kwenye social networks kama facebook,twitter and instagram link zipo kwenye blog yangu pia waitembelee blog yangu mara kwa mara kwani soon nitaweka namba watayoweza kuntumia track zao kwa njia ya watsapp" aliongezea julian.
 " nwashanga sana blogger wengi wa kibongo wasanii wakubwa wenye uwezo wa kifedha hamuwachaji tena mnahangaika wenyewe kutafuta nyimbo zao na kuzi post na hawawapi kitu but hawa wadogo maskini hata ela ya kurekodi yenyewe wamepata kwa tabu bado mnawabania yaani redioni na kwenye media nyingine wabaniwe na huku pia? aah inaboa.

JULIAN a.k.a mtoto wa mwenye duka, C.E.O wa juliandamas.blogspot.com 

juliandamas.blogspot.com "tupo tulikuwepo na tutaendelea kuwepo"

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.