new track: | NEW AUDIO: Lady JayDee ft Mazet & Dj Maphorisa – Give Me Love

baaada ya kimya kiasi lady jaydee amerudi tena. wakati huu akiwa na Dj maphorisa producer aliyefanya kaunyaka ya temba na chege pia vuvula ya madee, pamoja Mazet member wa kundi la MinaNawe waliowahi kufanya wimbo unaitwa "NJALO" pamoja na lady jaydee.





No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.