NEW VIDEO: AM IN - KINYO (SWAGGA BOY)

kipaji cha pekee,sauti yenye uzito na style yake ya kurap ni moja kati ya vitu vinavyo mtengenezea mashabiki wa jinsia zote toka kila pande za dunia.
YEESS anaiwakilisha Moshi Kilimanjaro ila malengo ni kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa makubwa duniani.
ana ngoma kali kama SWAGGA BOY na SO SPECIAL alofanya na Hitmaker wa SO CRAZY bibie Maua Sama ila na kwa sasa anakuja na bonge moja la video ya bonge la hit linaitwa.. 
AM IN



click hapa chini kuitazama

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.