NEW HIT: King Bozighini(Doctor Rapper) Ft Meltus - My Darling (prod.by Ngoi Kazi TONGWE RECS)

Baada ya Doctor Rapper video na audio kufanya vyema King Bozighini amerudi tena jikoni TONGWE RECORDS na producer Ngoi Kazi pamoja Geof Master na hichi ndicho walichotu bless nacho #MyDarling..Round hii akishirikiana na Meltus
Ni ngoma kali ambayo sikio lako litapenda kuisikiliza tena na tena.


click down here to listen & download

No comments

julianDamas 2011 - 2014. Powered by Blogger.