Baada ya kufanya vizuri kwenye kiitikio cha My Darling ya King Bozighini hatimaye Meltus anatualika kutizama video yake inaitwa UPENDO. Ni muziki mtamu ambao hutochoka kuusikiliza.
Leave a Comment